top of page
Search
Writer's pictureVOO News

"DALALAs Siyo Wanaua! HOSTERS Ndio Wanafanya Usherati Na Umalaya Hii Saudia", Kemboi Speaks

"Mimi niko Saudi arabia am one of the kembois na wengine wetu tulitoroka kwa sababu ya meteso niona kesi ya mkenya mwenzetu alimwagia mwingine acid I felt bad na leo nimeona mama mwingine amefungiwa kwa nyumba eti wanaitisha pesa kutoka kwa Familia yake it is so bad for sure kufanya mkenya mwenzako alie hivo.



Kitu chenye nilikuwa nakuambia hili Jina dalala linatumika vibaya Hao wenye wamefungia huyo mama sio dalala hao ni hosters tu ndio wanafanya hizo vituko Kuna tofauti kubwa Kati ya dalala na Hoster dalala ni mtu mwenye ako na line ya kazi tu anapokea calls kutoka kwa madams pekeake na kupeleka waschana kazi dalala wengi huwa hawahost waschana mimi nikiwa mmoja wao na dalala hana wakati hata wa kuongea na wanaume coz calls ni mingi kutoka kwa madams hata kupata masaa ya kukula sio rahisi kwa dalala coz mda wote anareceive many calls madam wanataka wafanya kazi but hawa wanaitwa Hoster wako tu kwa nyumba wamerentisha hawaendi kazi kazi yao tu ni kuhost waschana na kumbuka Hoster anasubiri 6months ndio mschana alipe tena pesa za kuhostiwa bila waschana kulipa pesa za kuhostiwa kumbuka huyu Hoster Hana pahali pengine Pa kutoa pesa ndio maana hosters wengine wanaanza umalaya. Harafu Sasa Kuna aina ingine ya watu tunaita Malaya sugu wa saudi hiki kikundi ni cha kujiuza tu hawaendi kazi hawana waschana wa kuhost kazi yao ni kufungua dating sites penye wanapata Hao wanaume wa kulala nao na remember hao Malaya wako na nyumba more than 2 coz wakiona huku wameleta wanaume Sana wanahamia Ile nyumba ingine kama wiki moja Kisha wanarudi kazi yao ni hiyo tu tena wanapenda kutorosha waschana Sana na kuwalazimisha kulala na wanaume ona Sasa mpaka Jina dalala linapata sifa mbaya tu Bure na watu wengi wanawajua kama dalala coz hawajui difference ya dalala, Hoster na Malaya sugu wenye wanachukua nyumba na kuweka waschana wa kujiuza. Na venye hao Malaya wametumia mikorogo wanakaa wazungu wacha tu for more information about kembois one day utanihost kwa show yako niongelelee hili jambo please.



Mimi mwenyewe ni victim wakati nilitiroka nikakataa kulala na wanaume nilidanganywa napelekwa kazi napelekwa mahali penye wanashikishia watu nikaambiwa kaa hapa tunanunua kitu kutoka kwa duka mimi na ujedidi wangu nikakaa tu na bag yangu hapo kumbe waschana wamehepa wakaniacha na sijui kwa nyumba sijui mtu hapo niko na 2weeks tangu nitoroke but mungu ni Nani nilipata mwarabu mwingine akanipeleka kwake nikamfanyia kazi then akaniconect da dalala wa rafiki yake nikaenda kwake akanitafutia kazi ingine the following day nikaenda kazi so dalala sio watu wabaya watu wabaya tu ni hosters na sio hosters wote wabaya coz hosters wengine wanaenda part time jobs. Hawa Malaya sugu ukianguka kwa mikono yao ukiwa jedidi utaregret kukemboi.

497 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page